Afisa Habari wa klabu ya Simba Haji Manara ameachiwa kwa dhamani na Jeshi la Polisi baada ya kushikiliwa kwa siku nne.
Manara ni miongoni mwa watu 19 walioachiwa kwa dhamana jana usiku baada ya kushikiliwa na polisi kwa takribani siku nne wakihusishwa na tukio la kutekwa kwa mfanyabiashara Mohammed Dewji βMo Dewjiβ
Manara alikamatwa na Polisi Ijumaa iliyopita akituhumiwa kusambaza taarifa za tukio la kutekwa MO kwenye mitandao ya kijamii kwa madai ya kutumwa na familia, jambo ambalo si la kweli.

ADVERTISE HERE