Simba kuendelea na mazoezi leo

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
15 Oct 2018
Simba kuendelea na mazoezi leo
Baada ya mapumziko ya siku moja, kikosi cha mabingwa wa soka Tanzania Bara, Simba leo kinaendelea kujifua kujiandaa na mchezo wa ligi kuu ya Tanzania Bara dhidi ya Stand United.

Mchezo huo utapigwa Jumapili ijayo, Oktoba 21 kwenye uwanja wa Taifa.

Siku ya jana wachezaji walipewa mapumziko ikiwa ni mara ya pili tangu alipotekwa Mwekezaji wa klabu hiyo MO Dewji Alhamisi iliyopita.

Alhamisi Simba ililazimika kuahirisha mazoezi ili kuwapa nafasi wachezaji na benchi la ufundi washiriki kwenye ibada maalumu ya kumuombea MO

Simba inajifua kwenye uwanja wa Boko Veterans bila ya wachezaji wake 10 ambao wameitwa kwenye timu za Taifa.
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
29m ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
4h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
16h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
22h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’