Okwi aguswa kutekwa kwa MO

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
11 Oct 2018
Okwi aguswa kutekwa kwa MO
Mshambuliaji wa Kimataifa wa Simba Emmanuel Okwi ameguswa na tukio la kutekwa kwa mwekezaji wa klabu hiyo Mfanyabishara Mohammed Dewji.

Kupitia ukurasa wake wa mtandao wa Instagram, Okwi amemtakia kila la kheri MO na anaamini 'yote yatakwisha'.



Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam Lazaro Mambosasa amesema Jeshi la Polisi linaendelea na msako wa kuwatia nguvuni waliohusika na tukio hilo lililotokea Alfajiri ya leo Alhamisi, Coliseum Gym.

Tayari watu watatu wametiwa nguvuni wawili wakiwa raia wa kigeni (wazungu).
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
11h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
17h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
20h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
23h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
23h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE β†’