Aussems alia na viwanja vya mikoani

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
11 Oct 2018
Aussems alia na viwanja vya mikoani
Kocha mkuu wa Simba Patrick Aussems amesema hana wasiwasi na timu aliyonayo lakini changamoto kubwa ni viwanja vya mikoani.

Aussems amesema hawezi kubadili aina ya soka la pasi ambalo Simba inacheza lakini malengo yao ya ushindi yanakumbana na hali ya viwanja vibovu.

Kocha huyo amesema ili soka la Tanzania lipige hatua linahitaji viwanja vizuri kuruhusu kila timu kucheza soka inalotaka.

Amesema anawashukuru viongozi wa klabu yake kwa akili ya kuanza kujenga uwanja wa mazoezi ambao utaisaidia klabu yao.

Amesema katika mechi alizocheza nje ya jiji la Dar kutofanya vizuri kama walivyotarajia kulitokana na hali mbaya ya viwanja.

Mwanaspoti
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
1h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
3h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
4h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
6h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
10h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
22h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’