Tuliachie Jeshi la Polisi lifanye kazi yake - Manara

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
11 Oct 2018
Tuliachie Jeshi la Polisi lifanye kazi yake - Manara
Uongozi wa Simba kupitia kwa Mkuu wake wa Habari Haji Manara umewataka mashabiki wa timu hiyo watulie na kuliachia jeshi la Polisi lifanye kazi yake kufuatia kutekwa kwa Mwekezaji wa klabu hiyo, Mfanyabishara Mohammed Dewji 'MO'

"Tumepata taarifa mapema, tumewahi hapa, Tunalishukuru jeshi la Polisi, Kamati ya Ulinzi na Usalama chini ya RC Paul Makonda na Makamanda wote kwa kulifuatilia jambo hili kwa ukaribu," amesema Manara.

"Tunawaomba wapenzi, wanachama na washabiki wa Simba watulie wakati huu vyombo vya ulinzi vikiendelea kumtafuta na kuwezesha kupatikana kwa mlezi wetu pamoja na mwekezaji wetu Mohammed Dewji"

"Muhimu kama alivyosema RC na Kamanda Mambosasa, sio vizuri kipindi hiki wengine tukawa wasemaji na kuzusha taarifa ambazo sio sahihi"

"Taarifa rasmi zinatolewa na Polisi na RC"

Naye Kamanda wa Polisi Kanda Maalum Lazaro Mambosasa amesema tayari wameanza uchunguzi wa tukio hilo na wamebaini miongoni mwa watu waliohusika kwenye utekaji huo, wapo wazungu wawili.
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
9h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
11h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
13h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
14h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
19h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’