Taarifa ya kutekwa kwa Mfanyabiashara na mwekezaji wa klabu ya Simba Mohammed Dewji 'MO' imewashitua mashabiki wa Simba pamoja na Watanzania wote kwa ujumla.
Ni tukio baya na la kusikitisha. Tunaliamini Jeshi letu la Polisi. Watafanya kazi usiku na mchana kuhakikisha Mo anapatikana akiwa hai.
Kwa wanaomfahamu MO hawawezi kuamini kama jambo hili linaweza kumtokea.
MO ni mtu wa watu amekuwa akilidhihirisha hilo katika maisha yake ya kila siku.
Mwenye ez Mungu amlinde na jambo lolote baya huko aliko.

ADVERTISE HERE