Chama an'gara Zambia ikiichapa Guinea Bissau 2-1

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
11 Oct 2018
Chama an'gara Zambia ikiichapa Guinea Bissau 2-1
Michuano ya Afrika kusaka tiketi ya kutinga fainali za AFCON inaendelea wakati huu ambao ligi zimesimama kuipisha michuano hiyo.

Jana Zambia ilichuana na Guinea Bissau kwenye mchezo ambao wenyeji waliibuka na ushindi wa mabao 2-1.

Katika mchezo huo kikosi cha Zambia kilimjumuisha kiungo mahiri wa Simba Cletus Chama. Na hakika alionyesha kiwango cha hali ya juu.

Chama aliupiga 'mpira mwingi' huku akifanikiwa kutengeneza moja ya mabao ya Zambia.
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Simba kuanza na Pirates nyumbani makundi CAFCL
Simba kuanza na Pirates nyumbani makundi CAFCL
6h ago
READ MORE β†’
Simba uso kwa uso na Berkane, Pirates kundi C
Simba uso kwa uso na Berkane, Pirates kundi C
7h ago
READ MORE β†’
Simba yatangaza ratiba ya uchaguzi, Wanachama kuanza kuchukua fomu Oktoba 30
Simba yatangaza ratiba ya uchaguzi, Wanachama kuanza kuchukua fomu Oktoba 30
8h ago
READ MORE β†’
Hakuna rekodi ya zamani ambayo itaishi mbele ya Simba - Ahmed
Hakuna rekodi ya zamani ambayo itaishi mbele ya Simba - Ahmed
11h ago
READ MORE β†’
Makundi CAFCL kujulikana leo
Makundi CAFCL kujulikana leo
13h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
16h ago
READ MORE β†’
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
1d ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
1d ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
1d ago
READ MORE β†’