Kikosi cha timu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' kimeondoka Alfajiri ya leo Jumatano, Oktoba 10 2018 kuelekea visiwa vya Cape verde kwa ajili ya mchezo dhidi ya wenyeji wao, Cape Verde.
Mchezo huo wa kusaka tiketi ya kufuzu kwa fainali za michuano ya AFCON 2019 utapigwa keshokutwa Ijumaa, Oktoba 12 2018.
Stars imeondoka na msafara wa wachezaji 22 huku wengine wanne wakitarajiwa kuungana na timu hukohuko Cape Verde.
Baadhi ya wachezaji waliokosekana katika msafara huo ni pamoja na Andrew Vicent na Jonas Mkude ambao ni majeruhi.
Hiki hapa kikosi kamili kilichosafiri
Magolikipa
Aishi Manula
Benno Kakolanya
Aron Kalambo
Benedict Tinoco
Mabeki
Shomary Kapombe
Hassan Kessy
Salum Kimenya
Gadiel Michael
Ally Sonso
Paul Ngalema
Kelvin Yondani
Abdallah Kheri
Abdi Banda
David Mwantika
Agrey Morris
Viungo
Himid Mao
Mudathir Yahya
Feisal Salum
Saimon Msuva
Farid Mussa
Washambuliaji
Mbwana Samatta
Jonh Bocco
Thomas Ulimwengu
Rashid Mandawa
Yahya Zayd
Shaban Chilunda
Wachezaji wanne Mbwana Samatta, Saimon Msuva, Farid Mussa na Shabaan Idd Chilunda wao watajiunga na timu huko huko Cape Verde.

ADVERTISE HERE