Kiungo wa Simba Hassani Dilunga leo ameanza rasmi mazoezi ya dimbani baada ya kuwa nje kwa wiki tatu akisumbuliwa na majeraha ya kifundo cha mguu.
Dilunga amekosa michezo minne ya ligi kuu ya Tanzania Bara kutokana na majeraha hayo aliyopata kwenye mchezo wa dhidi ya Prisons.

Kabla ya kurejea uwanjani leo, Dilunga alianza kujifua kwa mazoezi ya kukimbia na Gym ili kuuweka mwili sawa

ADVERTISE HERE