Uwanja wakwamisha Dream liner kwenda Cape Verde

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
9 Oct 2018
Uwanja wakwamisha Dream liner kwenda Cape Verde
Waziri wa Habari, Sanaa, Michezo na Utamaduni, Dk Harrison Mwakyembe, amefichua kwamba ndege ya serikali 'Dream Liner' haitosafirisha kikosi cha Timu ya Taifa Tanzania, baada ya kupata changamoto ya uwanja wa kutua huko Cape Verde.

Awali, ndege hiyo ndio ilikuwa ikipigwa chapuo lakini imebidi wabadilishe kutokana na changamoto ya uwanja wa kutua.

"Tumemtuma Mgohi aweze kuangalia namna sehemu ilivyo tutakayofikia, ametuambia kwamba uwanja ni mdogo kwahiyo tumeongea na wenzetu wa Airt Tanzania na tumeagiza ndege nyingine ambayo ina usajili wa Tanzania ambayo ina weza kushuka na kupaa kiurahisi," alisema.

Stars inatarajiwa kuondoka leo Jumanne saa tano usiku kwenda Cape Verde kwa ajili ya mchezo wa kusaka tiketi ya kutinga fainali za AFCON 2019.
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
2h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
5h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
6h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
8h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
12h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’