Mfungaji bora wa ligi kuu ya Tanzania Bara msimu uliopita Emmanuel Okwi amekuwa na mwenendo wa kusuasua katika kupachika mabao msimu huu.
Okwi aliifungia Simba bao la kwanza msimu huu Jumamosi iliyopita kwenye mchezo dhidi ya African Lyon.
Bao hilo limempa 'mzuka' Okwi ambaye sasa ameahidi kuendeleza kasi ya ufungaji wakati ligi itakapoendelea siku 10 zijazo.
Kwa sasa Okwi amerejea nchini Uganda kujiunga na timu ya Taifa inayojiandaa na mchezo wa kusaka tiketi ya fainali za AFCON 2019 dhidi ya Lesotho.

ADVERTISE HERE