Rasmi, Simba yatangaza kumtema Djuma

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
8 Oct 2018
Rasmi, Simba yatangaza kumtema Djuma
Uongozi wa klabu ya Simba umetangaza rasmi kuachana na aliyekuwa kocha wake msaidizi Masudi Djuma baada ya pande zote mbili kukubaliana kusitisha mkataba wake.

Akitoa taarifa ya kwa wanachama na mashabiki wa klabu ya Simba leo, Kaimu Rais wa klabu hiyo Salim Abdallah 'Try Again' amesema wamefikia makubaliano ya kuvunja mkataba wa Djuma kwa maslahi ya klabu.

Simba imemtakia kila la kheri kocha huyo na imemkaribisha wakati mwingine kwani wanaamini Djuma ni kocha mzuri na anaweza kurudi tena kuifundisha Simba siku zijazo.

Naye Djuma ameushukuru uongozi wa klabu ya Simba kwa kumpa nafasi ya kufanya kazi na amewatakia kila la kheri waweze kufanya vizuri kwenye michuano yote wanayoshiriki.

Kocha huyo aliyekuwa kipenzi cha mashabiki wa Simba hakuacha kuwashukuru, wanachama na mashabiki hao waliokuwa wakimuunga mkono tangu alipotua Simba mwaka mmoja uliopita.
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
3h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
9h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
12h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
15h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
15h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
15h ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE β†’