Djuma kuwaaga wachezaji Simba

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
8 Oct 2018
Djuma kuwaaga wachezaji Simba
Aliyekuwa kocha Msaidizi wa Simba Masudi Djuma amepanga kuwaaga wachezaji wa timu hiyo kabla ya kuondoka kurejea kwao Burundi imefahamika.

Djuma amethibitisha kukabidhiwa barua iliyomtaarifu juu ya kuvunjwa kwa mkataba wake na klabu ya Simba uliokuwa unamalizika Oktoba mwakani.

"Nimekabidhiwa barua ya kuvunjwa kwa mkataba wangu, nasubiri kukamilika kwa taratibu za kiofisi ili niweze kuondoka," amesema Djuma.

"Hata hivyo sitaondoka kimyakimya, nitawaaga wachezaji na mashabiki wa Simba ambao nimefanya nao kazi vizuri kwa kipindi chote nilichokuwa hapa"

Djuma ameondolewa Simba kwa madai ya kuingia katika migogoro na makocha wakuu wa klabu hiyo, kuanzia aliyepita, Mfaransa Pierre Lechantre hadi huyu wa sasa, Patrick Aussems raia wa Ubelgiji.
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
2h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
5h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
6h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
8h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
12h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’