Baada ya sare ya 0-0 na Nyundo FC katika mchezo uliopigwa Katavi Jumanne, Simba SC inatarajiwa kucheza mchezo mwingine wa kirafiki mjini Sumbawanga leo.
Simba bado iko Nyanda za Juu kusini ikisubiri mchezo wa ligi kuu ya Vodacom mzunguuko wa 10 dhidi ya Prisons.
Mchezo huo utapigwa wiki ijayo, Novemba 18 kwenye simba la Sokoine.
Simba tayari imeshachukua alama tatu dhidi ya Mbeya City na kocha Joseph Omog amesisitiza lengo la timu yake ni kushinda michezo yote miwili mkoani Mbeya

ADVERTISE HERE