Juzi Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ilitangaza kutoa Ndege aina ya Boeing 787-8 Dreamliner kusafirisha timu ya Taifa kwenda visiwa vya Cape Verde katika mchezo wa kufuzu fainali za Mataifa ya Afrika, unaotarajiwa kuchezwa Oktoba 12, mwaka huu.
Stars, inayonolewa na Mnigeria, Emmanuel Amunike, tayari imeingia kambini na inatarajia kuondoka nchini kati ya Oktoba 9 au 10.
Leo Shirikisho la soka Tanzania (TFF) limetangaza gharama za safari hiyo kwa mashabiki watakaopenda kwenda Cape Verde kuiunga mkono timu.

ADVERTISE HERE