Simba yafanya mazoezi ya mwisho kabla ya kuivaa African Lyon Jumamosi

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
5 Oct 2018
Simba yafanya mazoezi ya mwisho kabla ya kuivaa African Lyon Jumamosi
Kikosi cha mabingwa wa Tanzania Bara, Simba leo kimefanya mazoezi ya mwisho kwenye uwanja wa Boko Veterans jijini Dar es salaam kabla ya mchezo wa ligi kuu ya Tanzania Bara dhidi ya African Lyon kesho Jumamosi.

Mchezo huo utakaopigwa kwenye uwanja wa Taifa, unatarajiwa kuanza saa moja usiku.



Kocha Mkuu Patrick Aussems na Msaidizi wake Masudi Djuma kwa pamoja walisimamia mazoezi hayo yaliyojumuisha wachezaji wote wa kikosi cha kwanza cha Simba.

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
7m ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
4h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
16h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
21h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’