Kamati ya saa 72 kuwajadili wachezaji wanne Simba na Yanga

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
5 Oct 2018
Kamati ya saa 72 kuwajadili wachezaji wanne Simba na Yanga
Kamati ya saa 72 ya shirikisho la soka Tanzania (TFF) itakutana kujadili matukio ya utovu wa nidhamu yaliyojitokeza kwenye mchezo wa watani wa jadi kati ya Simba dhidi ya Yanga uliopigwa Jumapili iliyopita kwenye uwanja wa Taifa.

Akizungumza jana jijini Dar es salaam, Afisa Mtendaji Mkuu wa Bodi ya Ligi, Boniface Wambura, alisema kamati ya saa 72 itakutana muda wowote ili kujadili matukio hayo.

Wambura alisema kuwa wachezaji watakaojadiliwa katika kikao hicho ni Pascal Wawa, James Kotei wa Simba, huku kwa upande wa Yanga ni mshambuliaji, Heritier Makambo na Andrew Vicent "Dante" na hiyo imetokana na 'video clips' zinazosambaa mitandaoni zinazoonyesha walifanya vitendo visivyo vya kiuanamichezo.

"Hizi 'video clips' zinazotembea mitandaoni ndizo zinazotukutanisha, ila siwezi kuzungumzia hatua zitakazochukuliwa hadi kamati itakapokutana," alisema Wambura.
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
5h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
8h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
9h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
11h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
15h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’