Kiungo wa Simba Said Hamisi Ndemla amewasili salama nchini Sweden kuanza majaribio katika klabu ya AFC Eskilstuna inayoshiriki ligi kuu nchini humo.
Ndemla anatarajiwa kuwa nchini Sweden kwa siku 14.
AFC Eskilstuna ndiyo timu anayocheza Mtanzania mwingine Thomas Ulimwengu ambaye kwa sasa ni majeruhi.

ADVERTISE HERE