Uwanja wa Simba kukamilika kabla ya Februari 2019

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
3 Oct 2018
Uwanja wa Simba kukamilika kabla ya Februari 2019
Ujenzi wa uwanja wa mazoezi wa klabu ya Simba unaendelea kwa kasi Bunju nje kidogo ya jiji la Dar es salaam.

Mwekezaji wa klabu hiyo Mohammed Dewji 'Mo' amesema kama kila kitu kitakwenda sawa, mpaka kufikia mwezi wa pili mwakani uwanja huo utakuwa umekamilika.

"Huu ni wakati wa kihistoria kwa klabu yetu. Kwa miaka mingi nimekuwa nikiota na sisi tuwe na uwanja wetu wa mazoezi," ameandikia MO kwenye ukurasa wake wa mtandao wa Instagram.

"Na ninafurahi sasa ninawezesha hii ndoto baada ya miaka 82 tangu kuanzishwa kwa klabu yetu ya Simba.

"Nimeanza kukamilisha ahadi ya uwanja wa Bunju. Insha'Allah kazi ya ujenzi itakamilika kabla ya mwezi wa 2, 2019"
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
43m ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
3h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
4h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
6h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
10h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
22h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’