Jana uongozi wa klabu ya Simba kupitia kwa Mkuu wake wa Habari na Mawasiliano Haji Manara ulimtuza keki pamoja na cheti maalumu cha utambulisho mwanamuziki Nasib Abdul maarufu Diamond Platinumz aliyesherehekea kumbukumbu ya siku yake ya kuzaliwa.
Akizungumzia tukio hilo, Manara amesema wameamua kumtuza Diamond kwa kuwa ni balozi wa klabu hiyo na wanatambua kazi yake anayoifanya katika jamii.
"Branding ya kitu chochote kile haijengwi kwa kukaa ofisini peke yake na mifaili na milaptop kama wewe ndio uliyeanzisha Microsoft," amesema Manara kuwajibu wale waliokuwa wakihoji kilichofanywa na Simba.
"Ni kutoka katika matukio tofauti. Maana ya media officer wa club ni zaidi ya publicity secretary. Halaf Simba ikiongoza kwa mapato mtatafuta mchawi.
"Hivi mnajua kwa Jay Zee na Rihana kujitangaza tu ufuasi wao kwa Arsenal nini walipata wajukuu wa Babu Wenger? Unadhani mimi mjinga kutumia ushawishi wa kina @jb_jerusalemfilms ,Salama Jabir @ecejay, @mwanafa @flavianmatata, @tundamantz ,@monalisatz na kina @mwasitij pamoja na @auntyezekiel, @thembonishow na wengine?
"Mpira wa kisasa unaendeshwa kwa njia nyingi. Lakini lazima utumie ushawishi kutoka kwa mashawishi"

ADVERTISE HERE