Bado tuna matumaini ya kutetea ubingwa - Try Again

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
2 Oct 2018
Bado tuna matumaini ya kutetea ubingwa - Try Again
Kaimu Rais wa Simba Salim Abdallah 'Try Again' amesema hawatishwi na nafasi waliyopo kwenye msimamo wa ligi kuu ya Tanzania Bara.

Try Again amesema timu zilizojuu yao 'pumzi itakata' baada ya mda na watawapisha wenye nafasi yao.

"Sisi ndio mabingwa na mpango wetu ni kutetea ubingwa wetu kwa msimu wa pili mfululizo," amesema Try Again jana.

"Hatutishwi na hao walio juu yetu kwenye msimamo. Tunajua pumzi zitawaishia njiani na watatupisha"

Baada ya michezo ya jana Simba imeshushwa hadi nafasi ya nane ikiwa imejikusanyia alama 11 kutoka michezo sita.

Hata hivyo timu nyingi zilizo juu ukiondoa Yanga na Azam FC zimecheza michezo nane.
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
10h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
12h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
14h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
15h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
20h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’