Kikosi cha Simba leo asubuhi kilifanya mazoezi katika Uwanja wa Boko Veterani jijini Dar es Salaam baada ya mchezo wa jana dhidi ya Yanga.
Mazoezi hayo ni sehemu ya utaratibu wa makocha wengi duniani ili kuirejesha miili sawa baada ya mchezo.
Mazoezi hayo ni sehemu ya utaratibu wa makocha wengi duniani ili kuirejesha miili sawa baada ya mchezo.
ADVERTISE HERE