Yanga wameponea chupuchupu, African Lyon wajiandae

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
1 Oct 2018
Yanga wameponea chupuchupu, African Lyon wajiandae
Baada ya mchezo dhidi ya Yanga kumalizika kwa suluhu ya bila kufungana hapo jana, mabingwa wa Tanzania Bara Simba wamepania kumaliza hasira zao kwenye mchezo dhidi ya African Lyon utakaopigwa uwanja wa Taifa Jumamosi ijayo, October 06 2018.

Kama hakutakuwa na mabadiliko ya ratiba, mchezo huo ndio unaofuata kulingana na ratiba iliyopo.

Wakati huo huo ligi kuu ya Tanzania Bara inaendelea leo kwa michezo kadhaa kupigwa kwenye viwanja mbalimbali.

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
1h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
3h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
4h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
6h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
10h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
22h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’