Baada ya kunusurika na kipigo jana, kocha wa Yanga Mwinyi Zahera alisema kuwa alibadili mbinu kwa mchezo huo na ilikuwa ni mpango wake kuwaruhusu Simba wamiliki mpira yeye akiwavizia wafanye makosa.
Hata hivyo Msemaji wa klabu ya Simba Haji Manara hakubaliani na kauli hiyo ya Mcongomani Mwinyi Zahera na kusisitiza kuwa Yanga walizidiwa na kama isingekuwa mlinda lango wao Beno Kakolanya, jana wangekoga bao nyingi tu.
"Mpira ni mchezo wa hadharani hauchezewi chumbani. Sijaelewa kocha aliposema walikuja kulinda huku akiruhusu Simba watengeneze nafasi.
"Kwa kadri nnavyofahamu unapocheza defensive game hupaswi kuruhusu opponent wako kutengeneza nafasi na humpi hiyo chance.
"Kocha anajisifu wakati umepigiwa shots on target kumi na off kumi..imagine zingeingia !!
"Kocha anaekuja na plan ya kujihami hakupi nafasi ya kulisogea goli. Utaishia nje ya 18. Hii ni hadaa kubwa.
"Hivi angewaeleza nini kama zile target zingejaa?kwangu mimi narudia nyota wa mchezo ni kakolanya na bahati tu kwa mbinu zile za kuruhusu shots on &off 20," amefunguka Manara

ADVERTISE HERE