Kocha Mkuu wa Simba Patrick Aussems na msaidizi wake Masudi Djuma jana walishirikiana kikamilifu kwenye mchezo dhidi ya Yanga.
Katika mchezo huo uliopigwa Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam wawili hao walionekana wakiwa kwenye benchi la ufundi wakijadiliana mambo tofauti.
Wakati wa mchezo huo, Aussems alikuwa akimwelekeza mambo, Djuma na yeye alimpa ushirikiano.
Picha juu inaonyesha ni kwa namna gani makocha hao ni kama hawana tofauti tena.
Hii ni habari njema kwa klabu ya Simba kwani kilichotokea baina ya walimu hao hivi karibuni nusura kiharibu utulivu uliopo Msimbazi.

ADVERTISE HERE