Tulikosa umakini - Aussems

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
30 Sep 2018
Tulikosa umakini - Aussems
Kocha Mkuu wa Simba Patrick Aussems amesema amesikitishwa na matokeo ya suluhu ya bila kufungana kwenye mchezo dhidi ya Yanga uliopigwa leo uwanja wa Taifa.

Akizungumza baada ya mchezo huo, Aussems amesema bado haamini kama timu yake ilishindwa kuibuka na ushindi kwenye mchezo huo.

"Bado siamini kama hatukushinda leo," amesema.

"Kwani tulikuwa na mchezo mzuri tukifanikiwa kutawala kwa muda mrefu. Tumetengeneza nafasi nyingi sana lakini tulikosa umakini."

"Kwenye mchezo wa leo tumedhihirisha sisi ndio timu bora hapa Tanzania. Ndio timu inayocheza kandanda safi kuliko timu zote kwenye ligi"

"Naamini mwenendo huu utatusaidia kwenye michezo ijayo ya ligi pamoja na michuano ya ligi ya mabingwa barani Afrika," amesema Aussems.

Kwenye mchezo wa leo Simba ilitengeneza zaidi ya nafasi kumi lakini haikuwa na bahati ya kuutumbukiza mpira kimiani.

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
9h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
15h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
18h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
21h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
21h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
22h ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE β†’