FT : Simba 0-0 Yanga

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
30 Sep 2018
FT : Simba 0-0 Yanga
Licha ya kutawala mchezo kwa muda wote, mabingwa wa Tanzania Bara Simba itabidi wajilaumu wenyewe kwa kushindwa kuibuka na ushindi kwenye mchezo wa ligi dhidi ya Yanga leo.

Simba ikicheza kandanda safi la kuvutia iliwazima kabisa Yanga 'waliopaki basi' kuzuia mashambulizi mfululizo yaliyokuwa yanapelekwa langoni kwao.



Kukosekana umakini kwa washambuliaji wa Simba kwa kiasi kikubwa kumewanyima mabingwa hao ushindi mnono dhidi ya watani zao wa jadi.

Shiza Kichuya, Emmanuel Okwi, Cleotus Chama, Shomari Kapombe na Meddie Kagere kwa nyakati tofauti walikosa mabao ya wazi.

Hata hivyo Yanga itabidi wamshukuru mlinda lango wao Beno Kakolanya kwani aliinusuru na kipigo timu hiyo.







Matokeo ya suluhu kwa mchezo ambao Simba ilitawala kwa muda wote hayakufurahiwa na mashabiki wa timu hasa ikingatiwa ushindi kwenye mchezo wa leo ungeiwezesha Simba kupanda nafasi moja juu ya Yanga kwenye msimamo wa ligi.

Simba sasa imefikisha alama 11 baada ya kushuka dimbani mara sita.
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
11h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
17h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
20h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
23h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
23h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
23h ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE β†’