TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Klabu ya Simba inapenda kuwatangazia kuwa leo kutakuwa na mkutano na waandishi wa habari.
Mkutano huu utafanyika jijini Mwanza katika Hotel ya Belmont Fair Mount (zamani JB Belmont) iliyopo katika jengola NSSF mafao house barabara ya Kenyata kuanzia majira ya saa 6 mchana.
Imetolewa na Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano
Haji. S. Manara
Simba Nguvu Moja

ADVERTISE HERE