Mchezo wa Mbao ulikuwa mwepesi - Mayanja

Shabiki Waukweli By Shabiki Waukweli
β€’
22 Sep 2017
Mchezo wa Mbao ulikuwa mwepesi - Mayanja
Kocha msaidizi wa Simba Jackson Mayanja amesema Simba ilikosa bahati kwenye mchezo wa ligi kuu ya Vodacom dhidi ya Mbao FC.

Mchezo huo uliomalizika kwa sare ya mabao 2-2 uliishuhudia Simba ikitawala tangu dakika ya kwanza hata hivyo washambuliaji hawakuwa makini kwenye umaliziaji.

Akizungumza baada ya mchezo huo, Mayanja amesema mchezo ulikuwa mwepesi sana kwa Simba lakini makosa ya kutotumia nafasi nyingi zilizotengenezwa yalisababisha Mbao kupata sare hiyo.

Amesema benchi la Ufundi linaendelea kufanyia kazi mapungufu hayo ili kuhakikisha hayajirudii tena kwenye michezo ijayo.

Bado benchi la Ufundi lina kazi ya ziada kuhakikisha safu ya ushambuliaji inamaliza kazi mapema kama ilivyokuwa kwenye mchezo wa kwanza dhidi ya Ruvu Shooting.
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
10h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
12h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
14h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
15h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
20h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’