Kocha Simba awapa mabeki mbinu ya kumdhibiti Makambo

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
29 Sep 2018
Kocha Simba awapa mabeki mbinu ya kumdhibiti Makambo
Juzi Kocha wa viungo wa Simba Adel Zrane raia wa Tunisia alitoa maelekezo maalum kwa mabeki wa Simba kuhakikisha wanamdhibiti mshambuliaji wa Yanga Heritier Makambo.

Makambo ndio anaonekana kuwa tishio kwenye kikosi cha Yanga na benchi la Ufundi la Simba limewaanda wachezaji wake kikamilifu kumdhibiti.

Zrane alionekana akiwasisitizia mabeki wake namna ya kumdhibiti Makambo katika mazoezi yaliyofanyika juzi Alhamisi kwenye Uwanja wa Boko Veterani.

β€œMakambo kama mshambuliaji ana wajibu wa kuisaidia Yanga na ni majukumu yake pia, kwa kiwango chake anaweza kuitishia beki ya Simba, hivyo ni lazima kwa mabeki kuchukua tahadhari kwa mchezaji huyu,” alisikika Zrane akiwaambia wachezaji wake.

Simba imeendelea kujifua kujiandaa na machezo huo utakaopigwa uwanja wa Taifa kesho Jumapili Septemba 30 kuanzia saa 11 jioni.

Jana Simba ilijifua kwenye viwanja vya Gymkhana vilivyoko maeneo ya Posta jijini Dar es salaam.
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
17m ago
READ MORE β†’
Simba kuanza na Pirates nyumbani makundi CAFCL
Simba kuanza na Pirates nyumbani makundi CAFCL
14h ago
READ MORE β†’
Simba uso kwa uso na Berkane, Pirates kundi C
Simba uso kwa uso na Berkane, Pirates kundi C
15h ago
READ MORE β†’
Simba yatangaza ratiba ya uchaguzi, Wanachama kuanza kuchukua fomu Oktoba 30
Simba yatangaza ratiba ya uchaguzi, Wanachama kuanza kuchukua fomu Oktoba 30
15h ago
READ MORE β†’
Hakuna rekodi ya zamani ambayo itaishi mbele ya Simba - Ahmed
Hakuna rekodi ya zamani ambayo itaishi mbele ya Simba - Ahmed
18h ago
READ MORE β†’
Makundi CAFCL kujulikana leo
Makundi CAFCL kujulikana leo
21h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
1d ago
READ MORE β†’
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
1d ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
1d ago
READ MORE β†’