Nikipata nafasi nitawafunga tena - Nyoni

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
•
29 Sep 2018
Nikipata nafasi nitawafunga tena - Nyoni
Beki kiraka wa Simba Erasto Nyoni ndiye mchezaji wa mwisho kuifunga Yanga kwenye mchezo uliopita lakini ameapa tena kuwa anaweza kuifunga tena timu hiyo kesho kama atapata nafasi.

Simba inatarajiwa kuwa mwenyeji wa mchezo huo namba 72 wa Ligi Kuu Bara unaotarajiwa kupigwa kesho Uwanja wa Taifa saa 11:00 jioni.

Kwenye mchezo wa mzunguuko wa pili msimu uliopita, Nyoni alifunga bao kwa kichwa na kuipa Simba ushindi wa bao 1-0 akiunganisha mpira wa adhabu uliopigwa na Shiza Kichuya.

“Maandalizi yapo vizuri na nikipata nafasi tena ya kuitumikia timu yangu nitawafunga Yanga bao kama lile la kichwa nalikumbuka na nitafurahi sana tukifaniki­wa kupata pointi tatu muhimu.

“Natam­bua kwamba ushindani ni mkubwa hivyo mashabiki waendelee kutuombea, na­kumbuka msimu uliopita nilifaniki­wa kuipa pointi tatu timu yangu kwa bao la kichwa uwanja wa taifa, hivyo ni maombi yangu pia tuweze kushinda katika mchezo wetu, mashabiki waendelee kutuombea,” amesema Nyoni.
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
2h ago
READ MORE →
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
16h ago
READ MORE →
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
19h ago
READ MORE →
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
20h ago
READ MORE →
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
22h ago
READ MORE →
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
1d ago
READ MORE →
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE →
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE →
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE →
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
2d ago
READ MORE →