Mazoezi ya Simba yalifanyika Gymkhana leo

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
28 Sep 2018
Mazoezi ya Simba yalifanyika Gymkhana leo
Baada ya kujifua kwenye uwanja wa Boko Veterans kwa siku mbili mfululizo, leo Simba ilihamishia mazoezi yake kwenye viwanja vya Gymkhana maeneo ya Posta jijini Dar es salaam.

Simba imeweka kambi Hoteli ya Seascape iliyoko maeneo ya Mbezi Beach nje kidogo ya jiji la Dar es salaam.

Mazoezi ya Simba yamekuwa yakifanyika chini ya uangalizi mkali wa makomandoo wa klabu hiyo kuhakikisha hakuna uwezekano wa kufanyiwa hujuma.

Kumekuwa na ushirikiano mzuri kati ya Kocha Mkuu Patrick Aussems na Kocha Msaidizi Masudi Djuma ambao inaonekana wameweka tofauti zao pembeni na kuungana ili kuimaliza Yanga kwenye mchezo wa keshokutwa Uwanja wa Taifa.
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
7h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
13h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
16h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
19h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
19h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
20h ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE β†’