Mchezo dhidi ya Yanga kupigwa saa 11 jioni

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
28 Sep 2018
Mchezo dhidi ya Yanga kupigwa saa 11 jioni
Uongozi wa Simba umethibitisha mchezo wa ligi kuu ya Tanzania Bara dhidi ya Yanga utakaopigwa keshokutwa Jumapili Septamba 30 kwenye uwanja wa Taifa, utaanza saa 11 jioni.

Simba ndio mwenyeji wa mchezo huo wa kwanza baina ya timu hizo msimu huu.



Afisa Habari wa Simba Haji Manara amesema wamepanga muda huo kwa kuwa wanaamini ni muda mzuri kwa mashabiki wengi zaidi kujitokeza uwanjani.

Aidha, Manara amewaasa mashabiki kukata tiketi zao mapema ili kuepuka usumbufu unaoweza kujitokeza Jumapili siku ya mchezo.
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
9h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
15h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
18h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
21h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
21h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
21h ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE β†’