Licha ya kulazimishwa sare ya bao 1-1 na Coastal Union, Mbao FC imeendelea kun'gan'gania kileleni mwa msimamo wa ligi kuu ya Tanzania Bara baada ya kufikisha alama 14.
Nayo Azam FC imelazimishwa suluhu ya bila kufungana na Lipuli FC katika mchezo ulioisha punde dimba la Azam Complex, Chamazi.
Haya hapa matokeo ya michezo yote iliyopigwa leo;

ADVERTISE HERE