Kocha Mkuu wa Simba Patrick Aussems leo ameendelea kuwafua vijana wake kwenye uwanja wa Boko Veterans kuwaandaa na mchezo wa Jumapili dhidi ya Yanga.
Simba iliyoweka kambi Mbezi Beach, ilianza mazoezi rasmi jana kwenye uwanja huo huku benchi la Ufundi likiongozwa na Aussems mwenyewe na Masudi Djuma.
Kumekuwa na ulinzi mkali unaofanywa na makomandoo wa Simba kwenye uwanja huo kuhakikisha hakuna jambo lolote linavuruga program za mwalimu.

ADVERTISE HERE