Kikosi cha Simba leo jioni kimejifua kwenye uwanja wa Boko Veterans jijini Dar es salaam kujiandaa na mchezo wa ligi kuu Tanzania Bara dhidi ya Yanga.
Simba iliyoachana na mpango wa kwenda Zanzibar, imeweka kambi Hoteli ya Sea Scape iliyopo Mbezi Beach.
Kocha Mkuu wa Simba Patrick Aussems amesimamia mazoezi hayo sambamba na kocha Msaidizi Masudi Djuma ambaye ameungana na kikosi cha kwanza.
Djuma hakusafiri na timu ilipokwenda mikoani ikielezwa kuwa alipewa kazi maalum ya kuichunguza Yanga na kocha Mkuu Aussems.

ADVERTISE HERE