Simba kujichimbia Kunduchi

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
26 Sep 2018
Simba kujichimbia Kunduchi
Timu ya Simba SC inatarajiwa kuingia kambini leo katika hoteli ya Sea Scape, Kunduchi mjini Dar es Salaam kujiandaa na mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara Jumapili dhidi ya mahasimu, Yanga SC.

Uongozi wa Simba SC chini ya Rais wake, Salum Abdallah β€˜Try Again’ ulipenda sana kuipeleka timu Zanzibar kama ilivyo kawaida, lakini kocha Mbelgiji Patrick J. Aussems amekataa hilo akisema ni kuwasumbua wachezaji.

Baada ya mapumziko ya siku moja timu ikirejea kutoka Kanda ya Ziwa kwa mechi nyingine za Ligi Kuu, Simba SC inatarajiwa kuendelea na mazoezi leo Uwanja wa Boko Veterani, nje kidogo ya mji.
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
10h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
16h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
18h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
22h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
22h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
22h ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE β†’