TFF yaibana Simba iwasilishe nyaraka za kocha Masudi Djuma

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
9 Nov 2017
TFF yaibana Simba iwasilishe nyaraka za kocha Masudi Djuma
Bodi ya Ligi Kuu Bara, imetoa onyo kali kwa klabu ya Simba, kumuweka benchi kocha msaidizi Masoud Djuma, wakati wa mechi yao na Njombe Mji bila kuwa na vibali vya kazi.

Djuma aliyechukua nafasi ya Mganda Jakson Mayanja ambaye alikuwa msaidizi wa Joseph Omog, alijiunga na timu hiyo, akitokea Rayon Sports ya Rwanda.

Ofisa Mtendaji Mkuu wa Bodi ya Ligi Kuu Bara, Boniface Wambura, alizungumzia na Wanahabari jijini Dar es Salaam, kwamba Simba watatakiwa kupeleka vielelezo vya kocha huyo kama ana uhalali wa kufanya kazi nchini.
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
3h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
15h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
21h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
23h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’