Bado hali ya Afisa Habari wa Simba Haji Manara haijatengemaa baada ya hapo jana kupatwa na maradhi ya tumbo yaliyomplekea akimbizwe Hospitalini.
Kuugua kwa Manara kumepelekea baadhi ya vyombo vya habari viripoti taarifa zenye mkanganyiko.
Lakini mwenyewe ameweka bayana juu ya nini kinachomsumbua;
"Siumwi presha wala moyo kama inavyoandikwa mitandaoni. Nahisi nimepata 'food poison' na niwashukuru Madaktari walionihudumia awali Shinyanga na Mwanza," ameandika Manara kwenye ukurasa wake wa mtandao wa Instagram.
"Sasa nisharejea Dar tayari kwa vipimo zaidi...Insha'Allah kila kitu kitazidi kuwa salama"

ADVERTISE HERE