Simba kuweka kambi nje ya jiji

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
24 Sep 2018
Simba kuweka kambi nje ya jiji
Kikosi cha Simba kinatarajiwa kurejea leo jijini Dar es salaam kutoka mkoani Shinyanga ambako jana kiliibuka na ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya Mwadu FC kwenye mchezo wa ligi kuu ya Tanzania Bara.

Kuelekea mchezo dhidi ya Yanga Jumapili ijayo, Simba inatarajiwa kuweka kambi nje ya jiji kujiandaa na mchezo huo.

Taarifa zaidi zimebainisha kwamba Simba huenda ikaelekea Unguja kwa ajili ya kambi hiyo maalumu.

Simba imekuwa na kawaida ya kuweka kambi visiwani Zanzibar kabla ya kucheza na Yanga.
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
3h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
9h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
12h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
15h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
15h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
15h ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE β†’