Mlinda lango namba moja wa Simba Aishi Manula jana amedaka mechi yake ya 50 tangu asajiliwe kutoka Azam FC Julai mwaka jana huku akifungwa bao la 24.
Simba SC ilipata ushindi wa kwanza katika mechi tatu jana, baada ya kuichaoa 3-1 Mwadui FC Uwanja wa Kambarage mjini Shinyanga.
Ushindi wa jana unaifanya Simba SC ifikishe pointi 10 baada ya kucheza mechi tano kuelekea pambano dhidi ya watani wa jadi, Yanga Jumapili Uwanja wa Taifa mjini Dar es Salaam.
Jana Manula aliruhusu bao la 24 tu tangu ameanza kulinda lango la Simba SC, huku akiwa ana rekodi ta kudaka mechi 32 kuelekea pambano dhidi ya mahasimu wa jadi, Yanga SC Jumapili.

ADVERTISE HERE