Shirikisho la soka nchini (TFF) limewaagiza wanachama wake kuwa na dakika moja ya ukimya kabla ya kuanza kwa michezo yao kuomboleza vifo vilivyosababishwa na ajali ya kuzama kwa kivuko cha MV Nyerere.
Ajali hiyo iliyotokea juzi mkoani Mwanza imesababisha vifo vya watu zaidi ya 200.
Ajali hiyo iliyotokea juzi mkoani Mwanza imesababisha vifo vya watu zaidi ya 200.
ADVERTISE HERE