Mchezo wa Simba dhidi ya Biashara United waahirishwa

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
21 Sep 2018
Mchezo wa Simba dhidi ya Biashara United waahirishwa
Mchezo wa ligi kuu ya Tanzania Bara kati ya Simba dhidi ya Biashara United uliokuwa upigwe Septemba 27 umeahirishwa.

Pia mchezo wa Yanga dhidi ya JKT Tanzania ambao ulipaswa kupigwa Septamba 26 umeahirishwa ili kuzipa nafasi timu hizo zijiandae na mchezo wa watani wa jadi utakaopigwa Septemba 30 kwenye uwanja wa Taifa.

Hivyo baada ya Simba kumaliza mchezo wake wa keshokutwa dhidi ya Mwadui FC mkoani Shinyanga, itarejea jijini Dar es salaam kujiandaa na mchezo dhidi ya Yanga.
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
6h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
12h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
15h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
18h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
19h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
19h ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE β†’