Kamati ya uchaguzi ya klabu ya Simba imemaliza kazi ya kupitia sifa za waombaji wa nafasi mbalimbali za uongozi kwenye klabu ya Simba na imetangaza majina ya wagombea waliopitishwa.
ADVERTISE HERE