Jana Tanzania imekumbwa na msiba mkubwa baada ya Kivuko cha MV Nyerere kinachofanya safari kati ya Bugorora katika Kisiwa cha Ukerewe na Kisiwa cha Ukara katika Ziwa Victoria mkoani Mwanza kuzama.
Mpaka jana jioni watu 37 waliokolewa wakiwa hai huku wengine 44 wakiwa wamethibitika kufariki.
Zoezi la uokozi lilisitishwa jana usiku baada ya giza kuingia na linaendelea leo.
Tunawapa pole ndugu zetu wote walioguswa na ajali hii, tuko pamoja nao katika kipindi hiki kigumu.Mwenye ez Mungu awape nguvu.
Kwa wale waliopo hospitalini tunawaombea wapone ili waweze kurejea katika shughuli zao za kila siku

ADVERTISE HERE