FT : Mbao FC 1-0 Simba

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
20 Sep 2018
FT : Mbao FC 1-0 Simba
Simba imepoteza mchezo wa kwanza wa ligi kuu ya Tanzania Bara baada ya kukubali kipigo cha bao 1-0 kutoka kwa Mbao Fc kwenye mchezo uliopigwa katika dimba la CCM Kirumba.

Bao pekee la Mbao FC liliwekwa kambani na Said Khamisi kwa mkwaju wa penati kwenye dakika ya 26 baada mlinda lango Aishi Manula kumfanyia madhambi Pastory Athanas.

Matokeo hayo sio mazuri sana kwa wekundu wa Msimbazi ambao wameambulia alama moja pekee kutoka michezo miwili iliyopigwa mikoani mpaka sasa.

Mchezo unaofuata ni dhidi ya Mwadui FC utakaopigwa mkoani Shinyanga, Septemba 23, 2018.
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
1m ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
4h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
16h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
21h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’