Mabingwa wa soka Tanzania Bara, Simba leo saa kumi kamili jioni wanashuka kwenye uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza kuikabili Mbao FC.
Patrick Aussems, kocha Mkuu wa Simba tayari ameweka hadharani kikosi chake kinachoshuka dimbani mda mchache ujao.
Aussems leo amempumzisha mshambuliaji kinara wa mabao Meddie Kagere ambaye ameanzia benchi na nafasi yake imechukuliwa na Mohammed Ibrahim 'MO'
Hiki hapa kikosi kamili;

ADVERTISE HERE