Simba yajifua kuikabili Mbao Fc kesho

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
19 Sep 2018
Simba yajifua kuikabili Mbao Fc kesho
Kikosi cha mabingwa wa ligi kuu ya Tanzania Bara, Simba kimeendelea kujifua jijini Mwanza kujiandaa na mchezo wa ligi kuu dhidi ya Mbao Fc kesho.

Simba iko Mwanza tangu jana ambapo jana jioni na leo asubuhi imefanya mazoezi kwenye uwanja wa Nyamagana.

Leo jioni Simba inatarajiwa kufanya mazoezi kwenye uwanja wa CCM Kirumba kujiandaa na mchezo huo ambao Simba inahitaji kushinda ili kutuliza 'mzuka' wa mashabiki wake ambao hawakufurahishwa na matokeo ya mchezo uliopita ya kulazimishwa suluhu ya bila kufungana na Ndanda FC.

Simba iko jijini Mwanza ikiwa na kikosi chake kamili kinachowajumuisha washambuliaji Emmanuel Okwi, Meddie Kagere na John Bocco.
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
11h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
14h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
15h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
17h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
21h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’