Simba kucheza mchezo wa kirafiki Sumbawanga

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
8 Nov 2017
Simba kucheza mchezo wa kirafiki Sumbawanga
Baada ya sare ya 0-0 na Nyundo FC jana Uwanja wa Azimio, Mpanda mkoani Katavi, Simba SC imeondoka leo asubuhi kwenda Sumbawanga, ambako kesho watakuwa na mchezo mwingine wa kirafiki.

Nyundo FC inayoshiriki Ligi Daraja la Pili Tanzania Bara, jana iliwafurahisha mashabiki wa nyumbani kwenye Uwanja wa Azimio kwa soka safi na kuwabana vinara wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara kwa sare ya 0-0.

Kocha Mcameroon Joseph Omog ameridhishwa na viwango vya wachezaji ambao wamekuwa hawapati nafasi mara kwa mara kikosini, baada ya wachezaji wengi wa kikosi cha kwanza kwenda kwenye timu zao za taifa.
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
1h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
2h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
4h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
8h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
20h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’