Simba yatua jijini Mwanza

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
18 Sep 2018
Simba yatua jijini Mwanza
Kikosi cha Simba kilichoondoka Dar es salaam mapema leo kwa usafiri wa Ndege ya ATCL kimewasili salama jijini Mwanza.

Msafara wa wachezaji 20 na viongozi wa benchi la Ufundi wametua Mwanza tayari kwa mchezo wa ligi kuu ya Tanzania Bara dhidi ya Mbao FC.

Mchezo huo utapigwa keshokutwa Alhamisi kwenye uwanjwa wa CCM Kirumba.

Simba imekwenda Mwanza bila kocha wake msaidizi Masudi Djuma ambaye amebaki jijini Dar es salaam akikinoa kikosi cha vijana na baadhi ya wachezaji ambao hawakusafiri.
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
3h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
9h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
12h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
15h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
15h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
15h ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE β†’